Ya Arusha “Askari mmoja alirarua gauni langu, nikabaki uchi mbele ya baba.” 25/06/2013 0 Comments Nukuu za alichokisema Wema Malisa baada ya kufukuwa na Polisi Juni 18, 2013 katika Uwanja wa Soweto, Arusha ambapo watu kadhaa walikukusanyika ili kuwaaga watu wanne waliokufa kwenye mlipuko wa bomu katika mkutano wa CHADEMA, Jumamosi ya Juni 15, 2013 katika uwanja uo huo. Wema Malisa Nilikuwa namfuata baba yangu ambaye ni kada wa CHADEMA. Kutokana na ulemavu wake nilihofu angepata matatizo kama vurugu zingezuka. Nilikuta uwanja ukiwa umefurika wananchi wakiwasikiliza viongozi wa Chadema. Viongozi hao ni Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ambaye alihutubia na kumwachia Tundu Lissu naye akamwachia Said Arfi. Alipomaliza kuwataka wanachama hao waelekee Hospitali ya Mount Meru, ndipo mabomu yakaanza kulipuliwa. Nilimwambia baba tuondoke lakini tulikuwa tumeshachelewa, polisi walikuwa wametuzingira. Bomu la pili liliangukia mbele yetu. Askari mmoja ...
Posts
- Get link
- X
- Other Apps
Dear Mwajabu, Today is my last day in Tanzania, I had an amazing time! :) I wanted to thank you for the wonderful trip to Zanzibar. Your kindness (sense of humour) and professionalism were very much appreciated. Attached are just a few pictures of my trips to Ngorongoro Crater and Zanzibar, in case you use them for potential clients. It was a pleasure meeting you and I wish you all the best with your family and growing business. Kindly, Laurence > Date: Fri, 14 Jun 2013 15:32:17 +0300 > Subject: RE: One-day trip to Zanzibar > From: reservations@hellotanzania.com > To: beaulieu.laurence@hotmail.com
NEW NEW. PLEASE CONTACT ME IF YOU NEED HELP ON THIS
- Get link
- X
- Other Apps
FOR RESIDENTS:please let us visit the NP- not expensive as we think. take a buss from Dar es salaam to karatu. the driver will pick from the buss station,to eileens Trees Inn- lodge for accommodation. next day - full day crater - wanyama woooote wako hapo. then back to the lodge for dinner and accommodation. the next morning you chapa lapa to karatu station,the lodge will do a free transfer on this day,if you are 5 pax you will contribute for the safari car.and @ pay of you you will pay 320,000/= hapo umelala/umetembea crater/gari/guide/park fees/ lets go...... call me (+255 713 482 526) for more info