Miaka 50 ya muungano ni ya mafanikio makubwa kwa nch zetu,
sherehe hizi nilipamba moto na zilikuwa na mvuto wa hali ya juu,
Mkuu wa nchi muda wote alikwa na tabasam kla aina yake pale ambapo anaona wananch wake wanafanya vizuri bila kumuangushsa.
wanajeshi leo wamefanya kazi ya ziada, nimwaona kwa mamcho yangu Rais wa uganda museni na rRas wa Kenya wakitamani walichokuwa wanafanya wanajeshi wetu muuuuda wote,
Ukweili wanajeshi leo wametufanya yuwe na matabasamu muda wote ,ingawa kwenye upande wa sports Taifa stars wametuangusha chiniiiii.
Comments
Post a Comment